Telela aongeza majeruhi Yanga, abaki Dar es salaam Wimbi la majeruhi limezidi kukiandama kikosi cha Yanga ambacho kwa sasa kipo jijini Tanga kikijifua kwa ajili ya mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya African Sports. Read more about Telela aongeza majeruhi Yanga, abaki Dar es salaam