Wanawake 90 wamebakwa mkesha wa mwaka mpya
Kwa miongo mingi nchi zilizoendelea zimekuwa zikimulika nchi zinazoendelea kama moja ya sehemu ambapo matukio ya uhalifu wa kijinsia,uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na kutotii sheria kufanyika mara kwa mara.