Mtoto achomwa moto kutoanika shuka alilokojolea

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Bi Kulwa Shasumuni mkazi wa Igunga Mkoani Tabora amemchoma moto mwanaye Hassani Faustino (9)kwenye mkono wa kushoto kwa kile alichodai ameshindwa kuanika shuka zake alizokojolea kitandani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS