Riadha Tanzania kushinda Olimpiki ni ndoto-Nyambui
Aliyekuwa katibu mKuu wa Shirikisho la Riadha nchini RT Suleiman Nyambui amesema, itakuwa ndoto kwa wanariadha watanzania kupata medali katika michuano ya Olimpiki iwapo RT itaachiwa jukumu la maandalizi peke yake.