Wachache wajitokeza Uchaguzi jimbo la Arusha Mjini
Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Themi, Esther Kashangaki
Uchaguzi mkuu wa ubunge katika jimbo la Arusha mjini umefanyika kwa amani, huku idadi ya wapiga kura waliojitekeza ikiwa ndogo kulinganishwa na chaguzi zilizopita.