Simbachawene ateua mtendaji mkuu Dart
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tamisemi George Simbachawene, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa kaimu Mtendaji Mkuu wa wakala wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (Dart) uteuzi uliofanywa tangu Januari 4 mwaka huu.