Yanga/Azam mikononi mwa waarabu
Ule msemo unaosema 'usiyempenda kaja' umeendelea kuliandama soka la Tanzania kimataifa mara baada ya timu za Tanzania kuendelea kupangwa kukutana na timu za warabu katika michuano ya CAF kwa vilabu barani Afrika, klabu bingwa na kombe la shirikisho.