Sipendi Hisia akiimba kuhusu mapenzi- Anna Mghwira
Mama mzazi wa msanii Hisia ambaye pia alikuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo Bi. Anna Mghwira, amesema pamoja na kijana wake huyo kufanya muziki, wanatofautiana katika muziki wake.