Mpoto ahimiza lishe kwa watoto
Msanii wa muziki Mrisho Mpoto, moja ya nyota wanaoiwakilisha Tazania kuwania tuzo kubwa Afrika za Kora, amekuwa ni sehemu ya wahamasishaji katika jitihada za kupambana na tatizo la lishe duni kwa asilimia kubwa ya watanzania hususan kundi la watoto.