Sifikirii kuingia kwenye siasa - Kala Jeremiah Msanii Kala Jeremiah amesema pamoja na kuoneka kwenye harakati za kampeni kwenye uchaguzi uliopita, lakini hafikirii kuwa mwanasiasa ingawa anapenda kuwa kiongozi wa wananchi. Read more about Sifikirii kuingia kwenye siasa - Kala Jeremiah