Watano wakamatwa mauaji ya Kept. Gower

Mabaki ya Helkopta ilitungulia na Mjangili na kumuua Kapteni Roger Gower.

Watu watano wametiwa nguvuni nchini Tanzania kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua rubani mmoja wa Kiingereza, wakati akiwa kwenye operesheni ya kupambana na ujangili nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS