Kiungo Simba awaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo

Kiungo Wekundu wa Msimbazi Simba Said Juma Ndemla amewaondoa shaka mashabiki wa timu hiyo juu ya kiwango na uwezo wake kiuchezaji mara baada yakuonekana akianzia benchi katika michezo kadhaa sasa ya klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS