SACCOS yadaiwa kufilisika na pesa za wanachama SACCOS moja mjini Makambako mkoani Njombe yadaiwa kushindwa kutoa pesa kwa wanachama wake hali iliyozua taharuki na kuzusha madai ya taasisi hiyo kuwa huenda imefilisika. Read more about SACCOS yadaiwa kufilisika na pesa za wanachama