Wawili wafariki kwa kipindupindu mkoani Mara Kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu wilayani Tarime Watu wawili wamefariki dunia na wengine 39 wakilazwa katika kambi maalum ya ugonjwa wa kipindupindu katika kituo cha afya cha Nyamongo baada ya kuugua ugonjwa huo Read more about Wawili wafariki kwa kipindupindu mkoani Mara