Magufuli afuta hati ya mashamba matano makubwa
RAIS wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amefuta rasmi hati ya umiliki wa mashamba makubwa matano yaliyokuwa na hati za miaka 99 yaliyopo Mkoani Tanga yaliyokuwa yamemilikishwa kwa watu waliokuwa wakilima kilimo cha zao la mkonge.