Uokoaji Taiwan wakwama, vifo zaidi vyahofiwa.

Waokoaji ambao wanaendelea na zoezi la kuokoa watu waliofukiwa na vifusi baada ya kutokea Tetemeko la ardhi nchini Taiwan na kuangusha ghorofa, wamesema zoezi hilo halitafanikiwa kuokoa watu wote au kutoa miili yao zaidi ya103 iliyokwama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS