Rais Magufuli atengue kauli yake - Wananchi

Kauli aliyoitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli, ya kwamba ataendelea kufanya walichomtuma chama cha CCM, imeibua mtafaruku miongoni mwa wananchi huku wakidai amewasaliti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS