Mwenyekiti wa Chama cha Wasarishaji nchini (TAT),Bw. Zacharia Hans Poppe
Chama cha Wasafirishaji nchini TAT kimesema migomo ya madereva wa maroli haitakwisha endapo hawatakua na chombo kimoja cha kuwasemea kisheria ili kufika suluhu ya mgogoro wao na waajiri kwa muda mrefu.