Waandishi wa hadithi (script) wanatuangusha - JB
Msanii nguli wa filamu za kitanzania Jacob Steven maarufu kama JB, amesema kushuka kwa thamani kwa filamu za sasa hivi ukitofautisha na zile za zamani, kunasababishwa na waandishi wa hadithi kutofanya vizuri, na upungufu wa waongozaji wazuri.

