Zaidi ya nyumba 100 zabainika kuiba umeme Mwanza
Zaidi ya nyumba 100 zilizopo mtaa wa Balyehele kata ya Ilemela Jijini Mwanza zimebainika na kujihusisha na wizi wa nishati ya umeme kwa zaidi ya mwaka mmoja na hivyo kulisababishia shirika hilo hasara ya mamilioni ya fedha.

