Yanga yajikita kileleni, Simba na Azam zatakata

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara.

Unaweza kusema kwamba safari ya ubingwa wa ligi kuu ndio kama inaanza hasa kufuatia mbio za kufukuzana baina ya vigogo wa ligi hiyo Yanga, Simba na Azam hasa kutokana na timu hizo kupishana kwa utofauti mdogo wa alama moja katika msimamo wa ligi kuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS