Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kwa IGP Rais Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Ernest Mangu kufuatia vifo vya askari watatu waliopoteza maisha katika ajali ya gari. Read more about Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kwa IGP