Danai kushiriki filamu ya 2 Pac
Star wa maigizo wa kimataifa wa huko Marekani ambaye asili yake ni Zimbabwe, Danai Gurira anatarajiwa kushiriki katika filamu mpya ya maisha ya nyota wa muziki wa Hip Hop, Hayati Tupac Shakur ambayo itasimama kwa jina 'All Eyes On me'.