ATM itatimiza ndoto za watoto Afrika Mashariki
Msanii wa Filamu kutoka nchini Kenya anaefanya kazi zake nchini Ujerumani Ashley Toto, amezindua kampuni yake ya Ashley Toto Media(ATM) ambayo ni kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa Afrika na kuwainua wasanii wa Afrika Mashariki na kati.

