Bob Junior ahofia ushindani uliopo kwenye muziki
Kutokana na kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongofleva Bob Junior ameeleza kuwa amekuwa akihofia kutoa kazi toka mkusanyiko wa rekodi nyingi alizonazo kutokana na kuhofia kutokuwatosheleza mashabiki zake.