Vilabu vya wasichana vyapunguza ukeketaji - Wadau

Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Koshuma Mtengeti.

Wakati shirika la kuhudumia watoto duniani, UNICEF likisema kuwa watoto na wanawake wapatao milioni 200 katika nchi 30 wamekumbwa na ukeketaji, FGM nchini Tanzania harakati za kutokomeza mila hiyo potofu zimeanza kuzaa matunda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS