"Listen" ni kwa ajili ya Wapendanao - Steve

Mwanamuzi wa RNB kutoka nchini Tanzania Steve Rnb

Mwanamuzi wa RNB kutoka nchini Tanzania Steve Rnb ameachia video ya wimbo wake wa Listen akiwa nchini Ujerumani na kusema wimbo huo ni maalum kwa ajili ya siku ya Wapendanao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS