Wakandarasi wa nchini waahidiwa kupatiwa kazi
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa amewataka wakandarasi nchini kuungana na wakandarasi wa nje ili waongeze ujuzi na uzoefu, na kuleta ufanisi katika shughuli za uendelezaji miradi mbalimbali ya kimaendeleo.