Barabara za kupunguza foleni DSM kukamilika June
Mradi wa ujezi wa barabara za mlisho kwa ajili ya kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es salaam unatarajia kumalizika mwezi Juni mwaka huu na serikali inataraji kuwalipa makandarasi wanaodai karibu shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi huo.
