Azam yakana kupokea ofa ya Farid Mussa

mshambuliaji wa klabu ya soka ya Azam Fc Farid Mussa akishangilia moja bao alilofunga kwenye mechi ya ligi kuu ya soka Tanzania bara

Klabu ya soka ya Azam Fc imesema haijapata taarifa rasmi kutoka kwa klabu inayomuwania nyota wao mahiri Farid Mussa inayesemekana anahitajika na moja ya klabu nchini Slovenia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS