Mameya Kinondoni, Ilala sasa mchakato mzuri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imetupilia mbali maombi ya zuio la muda la uchaguzi wa mameya katika manispaa ya Kinondoni na Ilala jijini Dar es slaam. Read more about Mameya Kinondoni, Ilala sasa mchakato mzuri