Mchezaji wa ulinzi ni mmoja ya waliofariki Somalia

Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Ulinzi Stars ya Kenya Kevin'Jaobu"Ouma katika harakati zake enzi za uhai wake

Tasnia ya mchezo wa soka nchini Kenya imegubikwa na simanzi baada ya kupata taarifa ya kusikitika ya kifo cha beki wa zamani wa timu ya ulinzi Stars, Kevin Ouma aliyefariki kwenye shambulizi nchini Somalia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS