Wakandarasi wa ndani watakiwa kuongeza uzoefu
Waziri mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewataka wakandarasi nchini kuungana na wakandarasi wa nje ili waongeze ujuzi na uzoefu na kuleta ufanisi katika shughuli za uendelezaji miradi mbalimbali ya kimaendeleo.