Fedha za Magufuli zitasaidia kutoa haki- Mwakyembe

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harisson Mwakyembe

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harisson Mwakyembe amesema Mahakama itaimarisha miundombinu yake na kuboresha utoaji wa haki kwa Wananchi baaada ya kupatiwa shilingi sh. Bilioni 12.3 na rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS