Wahamiaji Kagera wapewa siku 14 kujisalimisha

Idara ya uhamiaji mkoani Kagera imetoa kipindi cha siku 14 kwa wahamiaji haramu na wageni wanaofanya kazi katika mkoa huo bila kibali ambao wamejificha kwenye baadhi ya visiwa vilivyoko ndani ya ziwa Victoria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS