Wanariadha wanne Tanzania kujaribu Olimpiki Sauzi.
Wanariadha wanne wa timu ya taifa ya riadha wanataraji kwenda Afrika kusini kushiriki michuano ya kiamtaifa ya mabingwa wa Afrika kwa vijana kwaajili ya kufuzu kushiriki michuano ya Olimpiki ya Rio Brazil itakayofanyika mwezi Agasti mwaka huu.