Wanafunzi UDOM wawashangaa waanzilishi wa program.

Mtandao wa wanafunzi nchini Tanzania umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwachukulia hatua wale wote waliodahili wanafunzi wasio na sifa katika program maalum iliyoanzishwa katika chuo kikuu ncha Dodoma na sio kuwaadhibu wanafunzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS