Dance 100% 2016 kuanza kwa kishindo Jumamosi hii
Mashindano yanayoendeshwa na kituo cha utangazaji cha EATV yanayokwenda kwa jina la DANCE 100% yanatarajia kuanza kwa kishindo kikubwa siku ya Jumamosi tarehe 16 Julai 2016 katika viwanja vya Leaders Club DSM kuanzia saa nne asubuhi.

