ACT yaungana na UKAWA kufanya mikutano ya hadhara.
Chama cha Siasa cha ACT Wazalendo nchini Tanzania kimesema kuwa kinakusudia kufanya mikutano ya hadhara katika miji mikubwa nchini kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi -UKAWA, kuongea na wananchi juu ya wabunge waliotol