Majaliwa kuzindua TAJATI, Agost 8 mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua rasmi Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) wakati wa ziara yake mkoani Mbeya Agosti 8 mwaka huu. Read more about Majaliwa kuzindua TAJATI, Agost 8 mwaka huu