Waislam watakiwa kushirikiana na serikali

Waislam wakiwa katika swala (Picha na Maktaba).

Viongozi wa Dini ya Kiislam nchini wameitaka jamii kuungana na Serikali kurejesha suala la uadilifu miongoni mwa jamii pamoja na kukemea tabia ya baadhi ya watu wanaofanya mauaji katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS