Waliofukuzwa UDOM waililia serikali iwatizame upya Wanafunzi 7,802 waliosimamishwa masomo Chuo Kikuu Cha Dodoma wameiomba serikali kuwatizama upya na kuwawezesha kumalizia masomo yao hasa wale wenye vigezo vinavyostahili. Read more about Waliofukuzwa UDOM waililia serikali iwatizame upya