Yanga kutafuta dawa ya kuiua Mo Bejaia nje ya nchi Mabingwa wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga wanatarajia kuondoka wiki ijayo kuelekea nchini Uturuki au Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Mo Bejaia. Read more about Yanga kutafuta dawa ya kuiua Mo Bejaia nje ya nchi