Norway yatumia Bil 2 USD kwa maendeleo ya Tanzania
DATO SRI IDRIS JALA,MJUMBE MAALUM WA RAIS WA MALAYSIA MHE MOHD NAJIB ALIPOKUTANA NA RAIS MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM.
Rais Magufuli leo amekutana na Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe. Najib Razak, Balozi wa Norway hapa nchini Mhe. Hanne-Marie na Balozi wa Finland hapa nchini Mhe. Pekka Hukka Ikulu jijini Dar es salaam.