BASATA yatakiwa kutoa adhabu kwa Nay wa Mitego
Juzi Baraza ka Sanaa nchini (BASATA) lilitangaza kuufungia wimbo wa mwanamuziki Nay wa Mitego unaokwenda kwa jina la ‘Pale kati Patamu’ kwa maelezo kuwa wimbo huo kwa kiasi kikubwa umekiuka maadili ya sanaa na jamii kwa ujumla.

