Uhaba wa Wataalamu wa Maabara ni kikwazo Sekondari Upungufu wa wataalamu wa maabara (Laboratory Technician) umetajwa kurudisha nyuma jitihada za mafunzo kwa vitendo katika shule za Sekondari licha ya kuwepo kwa maabara katika shule hizo. Read more about Uhaba wa Wataalamu wa Maabara ni kikwazo Sekondari