Maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yafutwa

Waziri wa Utumishi wa Utawala Bora, Angellah Kairuki

Serikali ya Tanzania imebadilisha mfumo wa maadhimisho ya siku ya utumishi wa umma badala yake siku hiyo ya tarehe 16 hadi 23 mwezi huu itatumika kwa watendaji wakuu kusikiliza kero za watumishi na wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS