Vilabu vyatakiwa kuwa na utulivu katika usajili Kuelekea katika ufunguzi wa dirisha la usajili, vilabu vya Ligi Kuu Tanzania Bara vimeshauriwa kuwa na utulivu ili kuweza kusajili wachezaji watakaokuwa na manufaa kwa timu. Read more about Vilabu vyatakiwa kuwa na utulivu katika usajili