"Sina mpango wa kuoa leo wala kesho".- Dully Sykes

Baada ya kupost picha akiwa na Mwana FA baada ya kuoa na kuandika maneno yanayoashiria naye hivi karibuni atafuata nyayo za Mwana Fa, Dully Sykes ameruka viunzi na kusema hana mpango wa kuvuta jiko leo wala kesho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS