Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakurugenzi aliowateua kwenda kusimamia fedha za serikali pamoja na kuondoa kero za wananchi, amesisitiza hayo kutokana na matukio ya ubadhirifu wa fedha za serikali kwa baadhi ya Wakurugenzi waliopita.
